Vitabu vya Kiswahili
imeandikwa na
Owen Jones
trans
Kama unavyoweza kuona katika duka langu la vitabu, nimeandika zaidi ya riwaya hamsini lakini zote ziko kwa lugha ya Kiingereza. Hata hivyo, ninafanya kila juhudi vitabu hivyo vitafsiriwe kwa lugha mbalimbali, na ukurasa huu utakuwa na orodha ya vitabu vyangu vyote vya Kiswahili.
Kwa wakatu huu, vitabu hivyo havitakuwa nyingi lakini utaona kwamba idadi ya tafsiri itaongezeka kwa muda, kwa hiyo ninapendekeza kwamba uangalie hapa kila mara ili kuona nini kimebadilika. Ikiwa una mapendeleo fulani kuhusu ni kitabu gani ungependa kuona kikitafsiriwa kwanza, tafadhali nijulishe na nitajaribu kukupa nafasi.
Viungo vya Vitabu vya Kiswahili.
Hata hivyo, orodha iliyo hapa chini inajumuisha zile ambazo tayari zinapatikana kwenye tovuti tofauti au zile zinazotafsiriwa: kichwa cha kitabu kinapokuwa kiungo, bonyeza juu yake na utaelekezwa kwenye kurasa zenye maelezo zaidi kuhusu vitabu vya Kiswahili.
Kwa hivyo, hapa kuna orodha ya vitabu vya Kiswahili:
Waliokataliwa
Hadithi Ya Kuchekesha Ya Kisasa Ya Familia Ya Popo
—
You must be logged in to post a comment.